Intel waitetea Huawei: Nje ya Google fahamu makampuni mengine yaliyoathirika - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Intel waitetea Huawei: Nje ya Google fahamu makampuni mengine yaliyoathirika

Fahamu Intel waitetea Huawei dhidi ya katazo la kibiashara la serikali ya Marekani. Nje ya Google ni makampuni mengi sana mengine ambayo yameathirika na katazo la kujihusisha na Huawei kibiashara. Ingawa kwenye biashara ya simu tayari inaonekana Huawei ataweza kufanikiwa kiasi flani kuendelea kutengeneza simu kwa kutumia toleo lao spesheli la Android ila kwenye biashara [...]


The post Intel waitetea Huawei: Nje ya Google fahamu makampuni mengine yaliyoathirika appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More