Inter Milan na Bayern Munich waweka rekodi kombe la dunia - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Inter Milan na Bayern Munich waweka rekodi kombe la dunia

Croatia wameenda katika fainali ya kombe la dunia kwa ushindi wa bao 2-1 dhi ya Uingereza huku mabao ya Croatia yakiwekwa kimiani na Mario Mandzukic pamoja na nyota wa Inter Milan Ivan Perisic.


Matokeo ya hii leo yanazifanya timu za Bayern Munich na Inter Milan kuwa na wawakilishi katika fainali hii ambapo Croatia yupo Ivan Perisic na Marcelo Brozovic(Inter Milan) huku Ufaransa yuko Corentin Tolisso wa Bayern Munich.


Hii ni rekodi kwa vilabu hivyo viwili kwani katika miaka 36(tangu 1982), vilabu hivi viwili vimetoa walau mchezaji mmoja mmoja katika michezo yote ya fainali za kombe la dunja.


1982, Italia 3-1 Ujerumani Magharibi, Gabriele Oriali, Giuseppe Bergomi (Inter Milan), Wolfgang Dremmler, Karl-Heinze Rummenigge, Paul Breitner (Bayern Munich)


1986, Argentina 3-2 Ujerumani Magharibi, Karl-Heinz Rummenigge (Inter Milan), Norbert Eder, Dieter Hoeness, Lothar Matthaus (Bayern Munich)


1990, Ujerumani Magharibi 1-0 Argentina, Andreas Brehme, Jurgen Klinsmann, Lothar Matthaus (Inter Mila... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More