INTER MILAN YAIADHIBU TOTTENHAM HOTSPUR, YAIPIGA 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

INTER MILAN YAIADHIBU TOTTENHAM HOTSPUR, YAIPIGA 2-1

Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la kusawazisha dakika ya 85 kufuatia Christian Eriksen kuifungia Tottenham Hotspur dakika ya 53, kabla ya Matias Vecino kufunga la ushindi dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More