Iran yakamata meli ya mafuta: Sauti yabaini majibizano kati ya wanajeshi wa Iran na wale wa Uingereza - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Iran yakamata meli ya mafuta: Sauti yabaini majibizano kati ya wanajeshi wa Iran na wale wa Uingereza

Sauti zilizorekodiwa zimebaini majibizano makali kati ya wanamaji wa Uingereza na wanajeshi wa Iran waliokua ndani ya meli ya kijeshi, muda mfupi kabla ya meli ya mafuta iliokuwa na bendera ya Uingereza kukakamtwa


Source: BBC SwahiliRead More