Irene Uwoya Amtuhumu Dogo Janja Kwa Kuchepuka Kwenye Ndoa Yao - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Irene Uwoya Amtuhumu Dogo Janja Kwa Kuchepuka Kwenye Ndoa Yao

Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali anaye trend kwa kiasi kikubwa hivi sasa Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi kuwa mume wake staa wa Bongo fleva Dogo Janja amewahi kuchepuka.


Aiku za hivi karibuni Irene Uwoya na Dogo Janja wamekuwa Kwenye headlines za Media mbali mbali huku tetesi zinazopamba moto ni kwamba ndoa yao inapumulia mashine.


Kwenye mahojiano aliyofanya na kipindi cha The Playlist cha Times Fm, Uwoya amefunguka baada ya kuulizwa maswali kadhaa kuhusiana na ndoa yake:


 


Swali la kwanza – Ni kweli mmeachana na Dogo Janja ?….. Irene alikataa kulijibu na kusema uliza swali lingine,


Swali la pili – Ni kweli hamkai pamoja na Dogo Janja ?…….Irene alikataa pia kulijibu na kusema uliza lingine


Swali la tatu – Ni kweli Umemu-Uniffolow Dogo Janja Instagram …? Irene alijibu “Hapana”


Swali la tatu – Ni kweli mnategemea mtoto na Dogo Janja….. Irene alikataa kulijibu na kusema Swali lingine


Swali la nne – Ni kweli Dogo Janja alishawahi kuchepuka kwenye ndoa... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More