Is It Okay Wakaka wakavaa A HEEL SHOE??? Ben Paul is unapologetically Rocking them - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Is It Okay Wakaka wakavaa A HEEL SHOE??? Ben Paul is unapologetically Rocking them

Well Ben Paul amekua moja ya wasanii wanao go out of their comfort zone kujaribu vitu vipya ambavyo wabongo wengi tunaishia kuona ughaibuni tu au kutokujua kabisa kwamba huwa vinavaliwa.


Mila za ki Africa na Tanzania zina weka mipaka mingi sana linapokuja swala la wanaume au wanawake ki mavazi au ki tabia fulani,na wakaka kuvaa kiatu chenye heel hili hata ughaibuni sio swala la wengi kulizoea au kuvivaa viatu hivi unless wewe ni drag queen au Gay.


Now sio jambo jipya wanaume kuvaa a block heel sababu tangu ancient times King Louis XIV wa ufaransa miaka ya 1643-1715 alikua akivaa a block heel shoe na ilikua ni shereia kwamba wanaotoka kwenye familia za kifalme wao watavaa kiatu chenye heel nyekundu .


In fact, as with the winkle-picker, men’s heels have a long, and even royal, history. Their ancestry is as macho as it gets and includes the burly horse riders of Persia (heels made it easier to keep the foot in the stirrup) during the 16th century. Eventually, they were adopted among ... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More