Isaac Gamba afariki dunia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Isaac Gamba afariki dunia

ALIYEWAHI kuwa Mtangazaji wa Radio One na ITV, ambaye baadaye alijiunga na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani (DW), Isaac Gamba amefariki dunia mjini Bonn Ujerumani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mtangazaji huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake na bado sababu za kifo chake hazijajulikana. Taarifa za kifo cha Gamba zinasema kuwa marehemu hakutokea kazini kwake tangu ...


Source: MwanahalisiRead More