ISCO ATOKEA BENCHI NA KUINUSURU REAL MADRID KUCHAPWA BILBAO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ISCO ATOKEA BENCHI NA KUINUSURU REAL MADRID KUCHAPWA BILBAO

Isco (kulia) akipongezana na Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 63 akimalizia krosi ya Gareth Bale kufuatia kuingia akitokea benchi dakika ya 61 kuchukua nafasi ya Luca Modric katika sare ya 1-1 na wenyeji, Athletic Bilbao waliotangulia kwa bao la Muniain dakika ya 32 Uwanja wa San Mames Barria Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More