Ishara ya kidole cha mwisho kumponza Mourinho - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ishara ya kidole cha mwisho kumponza Mourinho

KOCHA mkuu wa Manchester Unite Jose Mourinho yupo katika wakati mgumu tena baada ya Chama cha Mpira wa Miguu England (FA) kumchunguza kufuatia kuonesha ishara ya kidole cha mwisho mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu uliopigwa Old Trafford na kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Newcastle United. Anaripoti Kelvin Mwaipungu ...


Source: MwanahalisiRead More