Ishu ya viporo vya Simba kumbe ipo hivi buana! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ishu ya viporo vya Simba kumbe ipo hivi buana!

Kinachostaajabisha ni kwamba wakati Simba ikibebwa nchini kwa kisingizio cha ushiriki wa michuano hiyo ya CAF, wapinzani wao wa Kundi D, yaani Al Ahly ya Misri, AS Vita ya DR Congo na JS Saoura ya Algeria zenyewe zimekuwa zikicheza mechi zao kama kawaida.


Source: MwanaspotiRead More