ITALIA YANG'ARA KUFUZU EURO 2020, YAITANDIKA UGIRIKI 2-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ITALIA YANG'ARA KUFUZU EURO 2020, YAITANDIKA UGIRIKI 2-0

Wachezaji wa Italia wakishangilia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ugiriki usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Olimpico mjini Roma, mabao ya Jorginho kwa penalti dakika ya 63 na Federico Bernardeschi dakika ya 78 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More