J COLE NA MKEWE WANATARAJIA MTOTO WA PILI HIVI KARIBUNI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

J COLE NA MKEWE WANATARAJIA MTOTO WA PILI HIVI KARIBUNI
J. Cole na mkewe Melissa wanatarajia mtoto wa pili. Rapa huyo ametueleza kupitia ngoma yake mpya iitwayo 'Sacrifices' toka kwenye album yake mpya ya Dreamville-Revenge of The Dreamers iliyotoka siku ya alhamisi. 
Cole ambaye tayari ana mtoto mmoja wa kiume, alitupa taarifa ya mtoto wa Pili kwenye mistari isemayo "She gave me the gift of my son and plus we got one on the way. She gave me a family to love, for that, I can never repay." aliimba Cole.
Awali pia ilikuwa ngumu kubaini mtoto wake wa kwanza mpaka alipoweka wazi kwenye mahojiano na mtangazaji Angie Martinez mwaka 2016 wakati akiitambulisha album yake '4 Your Eyez Only'. 
... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More