J.Lo Wear Versace Boots Ambazo zina muundo wa Suruali za Jeans Zina Mifuko na Belt - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

J.Lo Wear Versace Boots Ambazo zina muundo wa Suruali za Jeans Zina Mifuko na Belt

Versace moja ya biggest designer house kutoka Italy wanakuja na hizi Boot ambazo zinatoka kwenye Resort 2019 collection,ukizicheki waweza sema suruali imemdondoka kumbe mbwe mbwe tu za design.


Hizi jeans zina imitate style ya jeans sababu zina mifuko kwa pembeni na zina loop holes pamoja na black belt ambazo unaweza sema zimeanguka kumbe ni viatu.


Wengi walijiuliza kama hivi


“I stared at this image for about five minutes try to figure out why Jennifer Lopez had her pants around her ankles in public before realizing they were boots,” one Twitter user shared. “Don’t think I’m in the wrong here.”


“I stared at this image for about five minutes try to figure out why Jennifer Lopez had her pants around her ankles in public before realizing they were boots,” one Twitter user shared. “Don’t think I’m in the wrong here.”“That awkward moment when you thought that @JLo’s pants are falling,”... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More