Jacqueline Wolper Kwenye Kurasa za Mbele za TRUE LOVE MAGAZINE - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jacqueline Wolper Kwenye Kurasa za Mbele za TRUE LOVE MAGAZINE

Wolper amepotea flani hivi hapa katikati sijui alikua ana shoot hii cover au amejipa break tu ya mitandaoni,but katusogezea her new feature kwenye gazeti la True love.


What happened to her face though??


Kwenye interview yake ataongelea mengi kama alivyobadilisha kazi nyingi kwenye ku hustle,maisha yake ya zamani na alivyojipanga kufanya maisha yake yawe better.


Mwenyewe aliandika kwenye ukurasa wake wa instagra kwamba It’s inspirational, it’s real, it’s all about Wolper Stylish


Jacquline Wolper @wolperstylish has switched up her life and career more times than she cares to count. In this July Career issue she lets us in on everything that went wrong in her past life, and her plans to make the best of her future…Grad your copy, the issue comes out this weekend. Check with your nearest supermarket or bookstore and let us know.

Location @radissonblunbo

Photography @rubanimbugua @rubanipix

Stylist @njoki.mohammed

Hair @poshpalaceofficial

Makeup @sunshinebalogun

Fashion Int... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More