Jafo ahoji Mil 60 ununuzi wa dawa ya mchwa Hospital ya Wilaya Morogoro Dc - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jafo ahoji Mil 60 ununuzi wa dawa ya mchwa Hospital ya Wilaya Morogoro Dc


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akitoa maelekezo wakati alipotembelea ujenzi wa hospitali yaMorogoro Dc inayojengwa katika eneo ya Mvuha kulia ni Mhe. Mkuu wa Mkoawa Morogoro Mhe. Kebwe Steven Kebwe. Kutoka Kushoto ni Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Kebwe Steven Kebwe, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Regina Chonjo na Mkurugenzi wa Morogoro Dc Masoud Riobawakifuatilia taarifa ya matumizi ya fedha za ujenzi wa hospital ya Morogoro Dcwakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo. Muonekano wa moja ya majengo ya Hospital ya Wilaya ya Morogoro Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati) akisisitiza jambo wakati alipotembelea ujenzi wa hospitali Wilaya ya Morogoro inayojengwa katika eneo ya Mvuha Muonekano wa moja ya majengo ya Hospital ya Wilaya ya Morogoro 
************* 
Waziri wa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More