JAJI MKUU AKISHAURI CHAMA CHA WANASHERIA KUSHIRIKIANA NA MAHAKAMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JAJI MKUU AKISHAURI CHAMA CHA WANASHERIA KUSHIRIKIANA NA MAHAKAMA


 Jaji Mkuu wa Tanzania,  Prof. Ibrahim Hamis Juma akizunzumza na viongozi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) walipomtembelea mapema Mei 16, 2019 ofisini kwake Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia kwake ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, anaefuata ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga, kushoto kwake ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Dkt. Rugemeleza Nshala, anaefuata ni Makamu wa Rais wa Chama hicho Bw. Mpale Mpoki , pamoja na wajumbe wengine walioshiriki katika mazungumzo hayo.  Jaji Mkuu wa Tanzania,  Prof. ibrahim Hamis Juma akisisitiza jambo wakati akizungumza na ujumbe kutoka Chama cha Wnasheria Tanganyika, ukiongozwa na Rais wa chama hicho, Dkt. Rugemeleza Nshala.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) Dkt. Rugemeleza Nshala (kushoto kwa Jaji Mkuu) pamoja na wajumbe wengine.
Jaji Mkuu wa Tan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More