Jamal Khashoggi: Mwandishi wa Saudia aliyepotea aliyemjua Osama bin Laden - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jamal Khashoggi: Mwandishi wa Saudia aliyepotea aliyemjua Osama bin Laden

Mwandishi wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi aliingia katika ubalozi wa Saudia mjini Istanbul mnamo Oktoba 2 na hakuwahi kutoka tena.


Source: BBC SwahiliRead More