Jamal Khashoggi na uhusiano wa familia yake na Kenya - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jamal Khashoggi na uhusiano wa familia yake na Kenya

Mwandishi huyu ni mjukuu wa Muhammad Khashoggi, daktari mzaliwa wa Uturuki ambaye alimuoa mwanamke Msaudia na alihudumu kama daktari wa kibinafsi wa Mfalme Abdulaziz Al Saud, mwanzilishi wa ufalme wa Saudi Arabia.


Source: BBC SwahiliRead More