Jamhuri kumbana Tido Mhando Oktoba 16 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jamhuri kumbana Tido Mhando Oktoba 16

UPANDE wa Mashtaka katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando kuanza kumuuliza maswali mtuhumiwa huyo ifikao Oktoba 16 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Tarehe hiyo, upande wa Jamhuri utaanza kumuuliza maswali Tido dhidi ya utetezi wake alioutoa tarehe 20 Septemba 2018 ...


Source: MwanahalisiRead More