JAMVI LA KISPOTI : Amunike ataondoka, atatuachia matatizo yetu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JAMVI LA KISPOTI : Amunike ataondoka, atatuachia matatizo yetu

TANZANIA nayo imemtimua kocha wao Emmanuel Amunike’, sentesi moja anaandika rafiki yangu mwandishi wa habari kutokea Misri, Fareed Kotb baada ya hapo akaweka vikatuni vikionyesha anacheka kwa uamuzi huo kufuatia taarifa hiyo, nami ikanibidi nicheke sasa nifanye nini!


Source: MwanaspotiRead More