Japan: Kibanika Mkate kinachouzwa kwa zaidi ya Tsh 600,000 - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Japan: Kibanika Mkate kinachouzwa kwa zaidi ya Tsh 600,000

Wajapani kama vile wazungu, wanapenda sana kutumia kibanika mkate kwenye kuandaa mikate yao. Tendo la kubanika mkate (yaani toast) ni la umuhimu sana kwao kiasi kwamba kampuni moja imekuja na mashine inayouzwa kwa bei ya zaidi ya nusu milioni. Kwa miaka kadhaa sasa nchini Japani na mataifa mengine kumekuwa na umaarufu wa vifaa vipya vya [...]


The post Japan: Kibanika Mkate kinachouzwa kwa zaidi ya Tsh 600,000 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More