Javu, Bigirimana Blaise wampa kiburi kocha - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Javu, Bigirimana Blaise wampa kiburi kocha

HUKO Alliance FC kwa sasa ni raha kwa kwenda mbele, hadi Kocha Mkuu wao, Malale Hamsini kukiri ana kiburi cha kuamini atairejesha kwenye heshima timu hiyo kutokana na kasi waliyoanza nao nyota wake wawili wapya, Hussein Javu na Bigirimana Blaise.


Source: MwanaspotiRead More