Je Arsenal watatia aibu leo? - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je Arsenal watatia aibu leo?

Kwenye klabu bingwa msimu huu asilimia kubwa zile timu ambazo zilikuwa na nafasi finyu ya kufuzu ndizo zilizotinga robo fainali.Ukiangalia Liverpool walishindwa kuwika myumbani, Mashetani wakundu walivuliwa nguo machinjioni, Juventus waliadhibiwa kule Spaim, Porto wakatandikwa kule Italia lakini zimefanya comeback.Arsenal mchezo wa mwisho walitandikwa mikwaju mitatu. Leo wapo pale Emirates Stadium kuangalia uwezekano wa kufuzu.Kuna uwezekano mkubwa sana kwa Chelsea kufuzu, lakini Arsenal ndio inasuasua. Kwa mara ya kwanza vilabu vinne vya EPL vinafuzu hatua ya 8 bora tokea mwaka 2008.Je Arsenal na Chelsea watafuzu ili kutimiza idadi ya vilabu 6 vya England kuwasha moto michuano ya kimataifa? Au Arsenal watatia aibu leo?Arsenal atakumbana na Rennes hapo baadae katika mchezo ambao atahitajika kushinda magoli mawili kwa sifuri au magoli manne kwa moja.Arsenal mchezo wa kwanza walitandikwa magoli matatu kwa moja kule nchini ufaransa.Chelsea nao wapo mjini Kiev kupambana na Dynamo Kiev kuka... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More