Je Arsenal watavunja mwiko wa kutokushinda michezo miwili mfululizo ugenini - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je Arsenal watavunja mwiko wa kutokushinda michezo miwili mfululizo ugenini

Arsenal mara yao ya mwisho kutia mguu St James’ Park walitandikwa mijeledi 2-1. Safari hii Unai Emery anawapeleka tena vijana wake kupimana ubabe na vijana wa Rafa Benitez siku ya kesho.


Washika mitutu hawa wa London (The Gunners) msimu huu wameruhusu mabao 8 kwenye mechi 4 za mwanzo. Mechi ya mwisho Arsenal wameshinda kwa tabu sana kwa Cardiff mabao 3 kwa 2. Kabla ya likizo fupi ya michezo ya kimataifa.


Newcastle takwimu zake zipoje?


Newcastle wameifunga Arsenal mara mbili tu katika michezo 23 ya mwisho ya mashindano yote (D5, L16). Emery nae anataka kuweka rekodi ya Arsenal kushinda mechi mbili mfululizo za ugenini tokea mwezi mei mwaka 2017.


Taarifa Arsenal

Alex Iwobi anarudi baada ya kuwa nje kwa majerha. Beki wa kushoto Sead Kolasinac na Ainsley Maitland-Niles nao wapo mbioni kurudi uwanjani baada ya kukumbwa na masahibu ya majeruhi.
Taarifa njema ni kwamba Laurent Koscielny ameanza mazoezi mepesi baada ya kuwa majeruhi kwa kipindi kirefu, huku Carl Jenkinson yeye bado anaendel... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More