Je hofu ya deni la Zambia ni kielelezo cha matatizo ya Afrika kwa ujumla ? - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je hofu ya deni la Zambia ni kielelezo cha matatizo ya Afrika kwa ujumla ?

Uchina imekopesha nchi za Afrika $136 bilioni kutoka mwaka 2000 mpaka 2017. Angola ndiyo nchi inayoongoza kwa kukopa kutoka Uchina amabapo katika miaka 17 iliyopita wamepokea jumla ya $42 bilioni.


Source: BBC SwahiliRead More