Je kati ya Neymar na Mbappe nani anayepigiwa upatu kushinda taji la Ballon d'Or - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je kati ya Neymar na Mbappe nani anayepigiwa upatu kushinda taji la Ballon d'Or

Neymar alipojiunga na Paris St-Germainkwa dau lililovunja rekodi ya £200m msimu uliopita alionekana kuwa mchezaji ambaye atavunja utamaduni wa kushinda taji la Ballon d'Or ambalo Messi na Ronaldo wamekuwa wakishinda.


Source: BBC SwahiliRead More