Je Simba kesho watafuta Uteja? - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je Simba kesho watafuta Uteja?

HESHIMA YA SIMBA LEO NI KUVUNJA UTEPE WA TIMU ZA CONGO KUONDOKA NA ALAMA HAPA TANZANIA.


Katika michezo 34 Simba waliocheza wakiwa kama wenyeji tokea 1976 ni vilabu 11 tu vimefanikiwa kuondoka na alama.


1977: Simba 0-0 Kwara

1978: Simba 0-1 AS Vita

1980: Simba 2-4 Union Duala

1995: Simba 1-1 Powerd Dynamos

1995: Simba 1-2 Assec Mimosas

2003: Simba 0-0 Santos

2003: Simba 0-0 Ismailia

2005: Simba 1-1 Enyimba

2008: Simba 1-3 Enyimba

2011: Simba 2-3 Tp Mazembe

2013: Simba 0-1 Libolo


Vilabu viwili vya Congo TP mazembe na AS Vita hawajahi kufungwa ndani haoa Tanzania.


Ni wajibu wa Simba kufuta uteja huo hapo kesho.


Kama tunavyoona hapo historia ya Simba wakiwa nyumbani imejitahidi sana kuhakikisha heshima ya taifa hili inalindwa. Simba imepoteza mechi 5 lakini imeshinda michezo 22.


Rekodi ya mechi 4 za mwisho Simba imepata matokeo chanya kwa kushinda zote.... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More