Je zama za Mourinho kutua Madrid zimefika ?, zaidi ya viti 30, 000 vyakosa watu Santiago Bernabeu usiku wa jana - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Je zama za Mourinho kutua Madrid zimefika ?, zaidi ya viti 30, 000 vyakosa watu Santiago Bernabeu usiku wa jana

Zaidi ya viti alfu 30, 000 vilikosa mashabiki kwenye dimba la Santiago Bernabeu hapo jana siku ya Jumapili na kuwa habari kubwa ya msimu.

Hali hiyo imetokea wakati Real Madrid wakikubali kipigo cha mabao 2 – 0 dhidi ya Real Sociedad huku wakiachwa kwa tofauti ya alama 10 mbele ya vinara wa ligi Barcelona.

Real Madrid are down in fifth  following their latest defeat by Real Sociedad at the weekend

Meneja wa timu hiyo, Santiago Solari amepoteza imani ya kujiamini kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa huku akiwataka wachezaji wake kuhakikisha wanafanya jambo litakalo saidia kuwarudisha mashabiki wao uwanjani kama ilivyokuwa hapo awali.

Captain Sergio Ramos looks dejected on the Santiago Bernabeu pitch following the loss

Cristiano Ronaldo aliiwezesha miamba hiyo ya soka ya Hispania kutinga hatua ya fainali ya UEFA Champions League na kutwaa ubingwa huo Ukraine. Na kuwapiga mabingwa wa Japan ambapo walichukua taji jingine kitu ambacho mpaka sasa Ramos au Solari wanaonekana kutoweza kufikia hatua hiyo.

Real Sociedad's Willian Jose celebrates scoring as Raphael Varane looks dumbstruck

Mpaka sasa kunamjadala wapengine, Mourinho kuchukua kazi hiyo katika kipindi hiki ambacho Barcelona wanaongoza kwenye msimamo wa La Liga huku nyota wake, Lionel... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More