Jella aipa mchongo Taifa Stars kuitikisa Afcon - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jella aipa mchongo Taifa Stars kuitikisa Afcon

Nahodha wa Taifa Stars iliyoshiriki Fainali za Afrika (Afcon) mwaka 1980, Jellah Mtagwa amewataka nyota wa sasa wa Stars kujituma, kuwa na umoja na kujitoa kwa Taifa ili wafanye vizuri kwenye fainali za mwaka huu.


Source: MwanaspotiRead More