JENERALI MSTAAFU GEORGE WAITARA AWAVISHA VYEO VIPYA VIONGOZI WAPYA TANAPA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JENERALI MSTAAFU GEORGE WAITARA AWAVISHA VYEO VIPYA VIONGOZI WAPYA TANAPA

Baadhi ya viongozi wapya wa jeshi-usu la Uhifadhi wakila kiapo cha utii katika hafla ya kutunuku vyeo vipya kwa watendaji wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania. Hafla hiyo imefanyika katika Kituo cha Mafunzo ya jeshi-usu, Mlele mkoani Katavi. Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dk. Allan Kijazi akishuhudia uvishwaji wa cheo kwa Naibu Kamishna wa  Uhifadhi na Maendeleo wa TANAPA Wiliam Mwakilema uliofanywa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA  Jenerali Mstaafu George Waitara  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA  Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara akimvisha cheo cha Kamishna Mwandamizi Kanda ya Kusini Dk Christopher  Timbuka  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania Jenerali Mstaafu George Marwa Waitara akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Mawasialino TANAPA  Pascal Shelutete katika hafla ya uvishaji vyeo kwa Maafisa wa TANAPA. Kamish... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More