JENISTA MHAGAMA ATOA VYETI KWA WAHITIMU WA PROGRAMU YA MWANAMKE WA WAKATI UJAO (FEMALE FUTURE PROGRAMME) - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JENISTA MHAGAMA ATOA VYETI KWA WAHITIMU WA PROGRAMU YA MWANAMKE WA WAKATI UJAO (FEMALE FUTURE PROGRAMME)

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii .
CHAMA cha Waajiri Tanzania (ATE) wamefanya mkutano mkuu wa kwanza wa wanawake katika uongozi kwa mwaka 2018 uliombatanisha mahafali ya pili ya programu ya mwanamke wa wakati ujao (Female Future Programme). 
ATE wamefanya mkutano huo wakishirikiana na Shirikisho la vyama vya waajiri nchini Norway (NHO) wenye lengo la kuwajengea uwezo wanawake kwa ajili ya kushika nafasi za juu za uongozi na kuwapa uwezo wa kuingia kwenye bodi mbalimbali na kushiriki katika maamuzi. 
Akifungua Mkutano huo, Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira ma Wwtu wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema mkutano huu mkubwa wa mwaka wa uongozi kwa wanawake unaenda samamba kabisa na juhudi za nchi yetu katika kuhakikisha idadi ya wanwake kwenye nafasi zao za juu za uongozi inazidi kuongezeka pia wanawake kuwa na idadi kubwa ya uwakilishi katika bodi za wakurugenzi za makampuni mbalimbali. 
"Serikali ya awamu ya tano imeendelea kusimamia na kuhakikisha kunakuwa na ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More