JESHI LA POLISI LAWAMANI IRINGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JESHI LA POLISI LAWAMANI IRINGAMkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akizungumza na wamiliki wa bar na mameneja mara baada ya kuwasikiliza malalamiko yao ya kufanyiwa vurugu na polisi nyakati za usiku
Meneja wa bar ya Shine Pub ya mkoani Iringa, Richard Sanga akitoa kero yake mbele ya wanahabari
Mmoja wa wamiliki wa bar akizungumza mbele ya mkuu wa wilaya walipofika ofisini kwake kuzungumza juu ya malalamiko ya jeshi la polisi

*************************NA DENIS MLOWE, IRINGAWAMILIKI wa bar na klabu za usiku mkoani Iringa wamepinga na kulalamikia kitendo cha jeshi la polisi mkoani Iringa kuwafanyia vitendo vya kupiga wateja na wahudumu kwa kile kinachosemekana muda wa kufunga bar kuzidishwa.

Wakizungumza mara baada ya kuandamana hadi kwa mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela, wafanyabiashara hao Zaidi ya 30 wanaomiliki bar mkoani hapa walisema kuwa kitendo kinachofanywa na baadhi ya askari wa jeshi hilo wanaofanya doria nyakati za usiku wamekuwa wakiwapiga wateja na wahudumu pindi wakikuta mu... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More