Jeshi la Tanzania limeanza rasmi operesheni ya kuratibu ununuzi wa korosho - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jeshi la Tanzania limeanza rasmi operesheni ya kuratibu ununuzi wa korosho

Jeshi la Tanzania (JWTZ) limeanza rasmi operesheni ya kuratibu ununuzi, uhifadhi na usafirishaji wa zao la korosho kwa mikoa ya kusini mwa Tanzania.


Source: BBC SwahiliRead More