JESUS AFUNGA BRAZIL IKIICHAPA SAUDI ARABIA 2-0 RIYADH JANA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JESUS AFUNGA BRAZIL IKIICHAPA SAUDI ARABIA 2-0 RIYADH JANA

Mshambuliaji Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya 43 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Saudi Arabia mapema jana Uwanja wa Chuo Kikuu cha Mfalme wa Saud mjini Riyadh. Bao la pili lilifungwa na beki Alex Sandro dakika ya 90, wakati wenyeji walipata pigo baada ya kipa wao, Mohammed Al-Owais kutolewa kwa kadi nyekundu baada ya kunaswa na picha za marudio ya Video (VAR) akiushika mpira Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More