JESUS APIGA HAT TRICK MAN CITY YAITANDIKA 6-0 SHAKHTAR - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JESUS APIGA HAT TRICK MAN CITY YAITANDIKA 6-0 SHAKHTAR

Gabriel Jesus akishangilia baada ya kufunga hat-trick dakika za 24, 72 kwa penalti na 90 na ushei katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad.
Mabao mengine ya Man City yamefungwa na David Silva dakika ya 13, Raheem Sterling dakika ya 48 na Riyad Mahrez dakika ya 84 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More