Jezi ya Rashford ni nzito sana - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jezi ya Rashford ni nzito sana

Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby’s “Babes”


Kuna baadhi ya wachezaji waliova pia namba hizo. Mashujaa wengine ni watu kamw Sir Bobby Charlton na Duncan Edwards. Nyakati hizo Dennis Viollet alikuwa mfungaji bora wa United


Ni mchezaji wa kwanza kutokea kwenye akademi na kujiunga “Busby Babes” na alianza 1953.


Kama Charlton, Viollet nae alinusurika ajali ya Munich. Alifunga mabao 32 kwenye michezo 36 msimu wa 1959/60 na aliifungia United mabao 159 kwenye michezo 293 kabla ya kuuzwa kwa klabu ya Stoke City.Pia yupo Stan Pearson ambaye hakujulikana sana. Stan alifunga mabao 148 kwenye michezo 343 na kuwa mfungaji bora nama 12 mabao mawili nyuma ya Ruud van Nistelrooy.


Mfumo wa Man United ulianza kubadilika baada ya 4-4-2 kuchukua nafasi kubwa. Kila mchezaji aliyecheza upande wa kushoto wa mshambuliaji wa mbele basi alipewa namba 10. Miaka ya nyuma jezi namba 10 ilikuwa na thamani kubwa Old tr... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More