JICHO LA MWEWE: Hatujawahi kuwaelewa vizuri hawa kina Dilunga - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JICHO LA MWEWE: Hatujawahi kuwaelewa vizuri hawa kina Dilunga

HASSAN Dilunga kwa sasa ni kiungo mpya wa Simba. Alikuwa kambini Uturuki. Miaka mitatu iliyopita alikuwa mchezaji wa Yanga kisha akaonekana wa kawaida halafu akaachwa. Ni kosa ambalo Yanga walifanya na Simba pia wanafanya.


Source: MwanaspotiRead More