JICHO LA MWEWE: Kinachofuata baada ya Mnyama kumtafuna adui wa kwanza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JICHO LA MWEWE: Kinachofuata baada ya Mnyama kumtafuna adui wa kwanza

MABAO mawili ya Meddie Kagere na moja la Emmanuel Okwi yalitosha kuhakikisha Simba inaanza kwa mkwara katika ligi ya wakubwa. Sijui kwanini kocha wa Simba aliamua kumuacha nje Kagere. Nadhani aliwahofia zaidi JS Saoura akaamua kujaza viungo wengi katikati na kuachana na ile kombinesheni yake ya John Bocco, Okwi na Kagere.


Source: MwanaspotiRead More