JICHO LA MWEWE : Taifa Stars inazidi kuwa mwili wa baunsa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JICHO LA MWEWE : Taifa Stars inazidi kuwa mwili wa baunsa

NILIKUWA nakiangalia kikosi chetu cha timu ya taifa kitakachoivaa Uganda Machi 22. Kocha Emmanuel Amunike amewaita mastaa wake wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi. Amejivunia kwelikweli mastaa hao. Dalili za kukua kwa soka letu.


Source: MwanaspotiRead More