Jicho la Mwewe: Umefika muda wa Juuko na Simba kuachana rasmi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jicho la Mwewe: Umefika muda wa Juuko na Simba kuachana rasmi

Sijui kimsingi sana kilichoendelea baina yao lakini vigogo wengi wa Simba wanadai Juuko ni tatizo. Ushahidi wa mazingira unaonyesha inawezekana. Mbona kinachomtokea Juuko hakikumtokea Paschal Wawa? Mbona hakikumtokea James Kotei wala Nicolas Gyan? Juuko anasema anaidai Simba mishahara ya miezi mitatu.


Source: MwanaspotiRead More