JIJI LA MBEYA KUSAIDIA WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JIJI LA MBEYA KUSAIDIA WANAWAKE WAFANYABIASHARA MASOKONI

 Meya wa Jiji la Mbeya Mchungaji David Mwashitindi (katikati),akiwa pamoja na wanawake wafanyabiashara masokoni kutoka  Dar es Salaam jana, ambao wapo jijini humo kwa ziara ya mafunzo na kuwahamasisha wanawake wenzao kujiunga na Umoja wa wanawake Sokoni wa Kitaifa.Ziara hiyo iliandaliwa na Shirika la Equality for Growth (EfG). Mwanasheria wa EfG, akizungumza na wafanyabiasha wa Soko Matola Ofisa wa EfG, Eva akizungumza na wafanyabiasha wa Soko Matola Ofisa Ufuatilia na Tathmini wa EfG, Samora Julius akizungumza na wafanyabiasha wa Soko Matola Mwenyekiti wa Soko la Uhindini, Joseph Mwakitalima akizungumza Picha ya pamoja Soko la Uhindini Mwenyekiti wa Bodi EfG,akisoma taarifa mbele ya Meya wa Jiji la Mbeya Meya wa Jiji la Mbeya Mchungaji David Mwashitindi (katikati),akizungumza na wanawake wafanyabiashara masokoni kutoka  Dar es Salaam jana, ambao wapo jijini humo kwa ziara ya mafunzo na kuwahamasisha wanawake wenzao kujiunga na Umoja wa wanawake Sokoni wa Kitaifa.Ziara hiyo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More