Jiji Mwanza waanza kujenga a soko la Sh. 23 bil - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jiji Mwanza waanza kujenga a soko la Sh. 23 bil

HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza, imeanza ujenzi wa soko kubwa la kisasa ambalo lilikuwa kwenye mikakati ya muda mrefu ya ujenzi na sasa  mpango huo umekamilika. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Imesema haitawafumbia macho wanasiasa na wananchi watakaodiriki kukwamisha mradi huo kabambe ambao ni mkombozi kwa wafanyabiashara wa Jiji hilo. Kauli hiyo imetolewa leo ...


Source: MwanahalisiRead More