Jike Shupa: Baada ya Kutoa Mimba Nyingi Sasa Nimeamua Kuzaa - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jike Shupa: Baada ya Kutoa Mimba Nyingi Sasa Nimeamua Kuzaa

Msanii Bongo Movie na video queen wa Bongo fleva Zena Abdallah ‘Jike shupa’ aliyejizolea umaarufu baada ya kutokea kwenye video ya wimbo wa Nuh Mziwanda Jike Shupa.


Global Publishers, wanatipoti kuwa siku za nyuma Jike Shupa alishawahi Kula kiapo kuwa kamwe hatozaa na mwanaume mwingine zaidi ya mtoto aliyezaa na msanii mkongwe wa Bongo fleva Juma Kassimu Nature.


Jike Shupa amevunja kiapo hiko baada ya kuonekana akiwa na kitumbo na ujauzito wake mwingine.


Kwenye mahojiano na Global Publishers, baada ya Jike shupa kuhojiwa juu ya imekuwaje kuamua kuvunja kiapo alichoweka ambapo alikiri kuwa alishatoa mimba nyingi hivyo kwa sasa ameamua kumzalia mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Montelego kwani anahitaji mtoto.Siku hizi nashindwa kujichanganya kama zamani kwa sababu ya ujauzito na nimeamua kuvunja kiapo na kubeba mimba kwa sababu ninampenda sana mpenzi wangu na ni muda mrefu anahitaji mtoto, nami nimeona nimridhishe nafsi yake“.The post Jike Shupa: Baada ya Kutoa Mimba Nyi... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More