JIMBO LA KONDOA LAPIGA HATUA KUBWA KIMAENDELEO MIAKA MITATU YA JPM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JIMBO LA KONDOA LAPIGA HATUA KUBWA KIMAENDELEO MIAKA MITATU YA JPM

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa (CCM), Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Kushoto), akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Mhe. Felista Bura (Katikati) wakiingia kwenye ukumbi ulipofanyika Mkutano Mkuu Maalumu wa Jimbo la Kondoa ambapo Dkt. Kijaji, aliwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Kipindi cha Miaka 3 ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano katika Jimbo lake.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Comrade Godwin Mkanwa (kushoto) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (katikati aliye vaa koti la njano), wakipokelewa na kundi wa wanachama wa chama hicho kwa kucheza ngoma wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, katika Jimbo la Kondoa. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kondoa (CCM), Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa p... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More