Jina la Madam Hero Lina Sound Very Powerful ;-Hamisa Mobeto - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jina la Madam Hero Lina Sound Very Powerful ;-Hamisa Mobeto

Mwanadada Hamisa Mobeto amefunguka na kuelezea hisia zake kwa jinis anavyojiskia kila napoona kuwa watu wameanza kumuelewa na kuanza kumuita Madam hero kitu  ambacho kwake anaona kinampa nguvu ya kufanya kazi kla siku,


Akionge na moja ya waandishi wa habari , Hamisa anasema ” jina la madam hero its sound very powerful najisikia kila siku mimi ni jasiri sana, limekuwa likiongeza sana  kufanikiwa kwangu kuingia katika muziki sana na ninawashukru sana.


Jina la Madam Hero linakuja kuwa kubwa sku hadi siku kutokana na kwamba Hamisa Mobeto alitoa wimbo wake uliokwenda kwa jina hilo hivyo wtu kuanza kumuita madamu hilo.


The post Jina la Madam Hero Lina Sound Very Powerful ;-Hamisa Mobeto appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More