Jino moja: Wakiumia tu majanga kwenye timu zao - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jino moja: Wakiumia tu majanga kwenye timu zao

Inter Milan ni timu nyingine inayomtegemea straika mmoja tu kufunga mabao yake, Mauro Icardi. Amefunga mabao 13 msimu huu, lakini mshambuliaji mwingine wanayemtegemea Inter ni Keita Balde, amefunga mabao manne tu.


Source: MwanaspotiRead More