Jinsi Hamisa Mobetto alivyouliza maswali mpaka mshindi wa Miss Tanzania kupatikana (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jinsi Hamisa Mobetto alivyouliza maswali mpaka mshindi wa Miss Tanzania kupatikana (Video)

Mashindano ya Miss Tanzania yamemaliza kwa mrembo, Queen Elizabeth kutoka Zone ya Dar es salaam kuondoka na taji hilo huku akiwamwaga wenzake 19. Baada ya kuingia tano bora warembo hao waliulizwa na maswali Hamisa Mobetto na aliyejibu vizuri alijichukulia maski nyingi kutoka kwa majaji.The post Jinsi Hamisa Mobetto alivyouliza maswali mpaka mshindi wa Miss Tanzania kupatikana (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More