Jinsi Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako ilivyotingisha mashabiki Dodoma - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jinsi Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako ilivyotingisha mashabiki DodomaMwanadada Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako, lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuru mjini Dodoma
Msanii wa Bongofleva Abdul Chande ‘Dogo Janja’ akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

MKALI wa bongo fleva Nurdin Billal 'Shetta' akilishambulia jukwaa kwenye tamasha hilo jana 

MKALI wa nyimbo za injili Godluck Gozbert akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2019 Saizi Yako katika tamasha lililofanyika juzi Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma


NYOTA wa muziki wa bongo fleva Heri Samir 'Mr Blue' akiimba katika tamasha la Tigo Fiesta 2019


Na MWANDISHI WETU, Dodoma

ZAIDI ya wasanii 16 juzi walitingisha baada ya kutoa burudani ya aina yake katika tamasha la Tigo Fiesta Saizi Yako, lililofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.

Juzi ilikuwa zamu ya Jiji la Dodoma na maeneo jirani kupata burudani hiyo ya aina yake baada ya kufanyika mikoa mingine mitatu tangu tamasha... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More