Jinsi Ya Kushinda Katika Ugomvi Wowote Ule - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Jinsi Ya Kushinda Katika Ugomvi Wowote Ule

Mpendwa rafiki yangu, Ni asili yetu sisi binadamu kugombana, kupishana kauli, hakuna mtu ambaye anaweza kuishi bila kukerwa na watu. Kama tunaishi hatuwezi kuacha kukwazana kwa sababu kila mmoja ana maisha yake hivyo siyo kila mtu atapenda vile unavyoishi maisha uliyojichagulia. Katika kila ugomvi unaotokea kila mtu anataka kuibuka kuwa mshindi yaani ugomvi ni kama... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More