JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

JK amjulia hali Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla

Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo Jumatano Agosti 8, 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kumjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, 2018 mkoani Manyara.


Source: Issa MichuziRead More